Kipa mahiri wa timu ya taifa ya italy na timu ya juventus gianluig buffon amesema kwamba hataenda kokote na anatarajia kustaafu soka akiwa na timu hiyo.
Mchezaji huyo amesema hayo baada ya kumalizika kwa mechi yao dhidi ya bulgaria na kushinda 1-0, na kusema kwamba anafuraha na timu hiyo tangu alipojiunga na timu hiyo mwaka 2001 akitokea parma kwa ada ya euro 51 million.

No comments:
Post a Comment