Katika kujiandaa na mechi ya kukata na shoka kesho jumapili manchester united na manchester city kikosi cha mashetani wekundu kinazidi kupata uimara baada ya wachezaji wake baadhi waliokuwa majeruhi kurudi uwanjani tayari kabisa na kipute hicho.
Mshambuliaji wa timu hiyo baada ya kuwa majeruhi kwa kipindi cha wiki tatu anatarajiwa kuwepo kwenye kikosi baada ya kuanza mazoezi jana ijumaa.
Kwa mijibu wa kocha wa timu hiyo david moyes amesema mchezaji huyo yuko kamili na ameshaanza mazoezi na wenzake ili kuja kuongeza nguvu katika mchezo huo uliojaa na ushindani na kila shabiki wa soka duniani anausubiri kwa hamu.
Vilevile ameongeza kuwa uwezekano mkubwa wa kuendelea kuwatumia RVP na Rooney upo kwani tayari wameshatengeneza partnership katika mechi mbili zilizopita.

No comments:
Post a Comment