Kiungo mahiri wa timu ya taifa ya ghana na clabu ya chelsea michael essien amemtabiria makubwa kinda wa timu ya taifa ya ghana na chelsea aliyesajiliwa msimu huu christian atsu.
Mchezaji huyo mwenye miaka 21 ambae amesaini clabuna hapo kwa mkataba wa miaka 5 akitokea mabingwa wa ureno fc porto.
Winga huyo kwa sasa amepelekwa kwa mkopo katika timu ya vitesse anatarajiwa kuimarika katika mkopo huyo na kuwa imara n tayari kwa ligi kuu ya england.

No comments:
Post a Comment