Kocha wa bayern munich pep guadiola hatimaye amewaweka wazi mashabiki wa soka duniani kuhusu swala la kumsajili mshambuliji wake wa zamani kutoka barcelona lionel mesi.
Kwa mujibu wa raisi wa tiumu ya bayer Uli Hoeness amesema kwamba kwasasa hawafikirii na wala kupanga kumsajili nyota huyo wa dunia na ni bora kwa sasa kwani bado mchezaji huyo anafuraha na anamkataba na timu hiyo.
Vilevile kocha huyo amesema kwamba kwa sasa anafikiria ni jinsi gani anaweza kupata mataji ambayo aliachiwa na kocha aliyomwachia kibarua hicho clabuni hapo na hafikirii kabisa kuhusu kumsajili messi kwa sasa.

No comments:
Post a Comment