Mabingwa mara 20 wa ligi kuu ya england manchester united wamemalizana na timu inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini hapo kuhusu usajili wa kinda jesse lingard.
Nyota huyo wa timu ya vijana wa manchester united mwenye miaka 20 ataenda kwa mkopo katika timu hiyo kwa muda wa mwezi mmoja.
Kinda huyo ambaye aling'ara katika mechi za majaribio katika kujiandaa na msimu mpya wa ligi mbalimbali ambapo manchester united walitembelea Australia, Asia.

No comments:
Post a Comment