Kocha wa timu ya man united David Moyes ameshauriwa kuwa na mahusiano mazuri na nyota wa timu hiyo Wyne Rooney ili kuleta mafanikio katika timu hiyo.
Kwa mujibu wa uongozi wa timu hiyo umesema kwamba ni vizuri sana kocha huyo kuelewana vizuri na nyota huyo ambaye ameeonekana kurudi katika kiwango chake kizuri katika mechi mbili zilizopita.
Inasemekana kwamba kocha huyo hana mahusiano mazuri tangu rooney alipokuwa everton wakati moyes alipokuwa kocha wa timu hiyo na baadae rooney kuamua kutimkia manchester united na sasa kocha huyo ni kocha wa timu ya man united, na hadi kipindi cha usajili rooney ilisadikiwa ataondoka clabuni hapo kutokana kutokuwa na mahusiano mazuri na moyes.
Hata hivyo nyota huyo hakuondoka na sasa anajisikia vizuri ndani ya timu hiyo na uongozi kutaka moyes kudumisha mahusiano na nyota huyo.
Vilevile tayari uongozi wa timu hiyo umefungua milango kwa nyota huyo kuongeza mkataba wa kuendelea kuichezea timu hiyo kwani bado muda mfupi mkataba wake umalizike.

No comments:
Post a Comment