Kampuni ya Saidi Salum Bakhresa imetoa kiasi cha shilingi millioni 6570000 kwa ajili ya ukarabati wa uwanja wa mao tse tung.
Uwanja huwo uliopo unguja ambao unatumuka katika michezo ya ligi kuu visiwani humo, utafanyiwa ukarabati katika maeneo tofauti yakiwemo vyoo na sehemu za kusalia.
Vilevile utakarabatiwa kwa kuingiza huduma za maji na umeme ndani ya uwanja huwo ambazo ilikuwa tabu kupatikana.
Hii imefanyika ni katika moja ya mpango wa kampuni hiyo kutaka kuinua kiwango cha soka visiwani humo.

No comments:
Post a Comment