Tuesday, September 17, 2013

MBEYA CITY YAPIGWA FAINI KWA FUJO MECHI DHIDI YA YANGA

Timu ya soka ya mbeya city inayoshiriki ligi kuu tanzania bara imetozwa faini ya shilingi millioni moja kwa kosa la washabiki wake kuwafanyia fujo timu ya yanga katika mchezo wao uliochezwa jumamosi iliopita.

Kwa mujibu wa katibu mtendaji wa kamati ya ligi hiyo Bw mwakidinge amesema kwamba faini hoyo imegawanyika katika mafungu mawili.

 Fungu la kwanza timu hiyo imetozwa shilingi 500000 kwa kosa la kutoingiza timu yao ya chini ya umri wa miaka 20 kabla ya mchezo huwo wa ligi, na Pili kwa kosa la washabiki kufanya fujo kabla ya mchezo huo .

No comments:

Post a Comment