Timu ya soka ya lipuli fc wamelalamikia mgawo wa pesa ambazo zilizopatikana katiaka mechi yao ya kirafiki dhidi ya simba
Mwenyekiti wa lipuli amesema kwamba wameshangaa sana kupata kiasi hicho cha pesa kwani wamedhurumiwa na viongozi wa simba na wanaamini kwamba kuna tiketi ziliiuzwa kinyemela.
No comments:
Post a Comment