Tuesday, September 10, 2013

MWAMUZI BONGO AFUNGIWA ,ALIYECHEZESHA MECHI KATI YA YANGA NA COASTAL UNION

Mwamuz kutoka mkoani morogoro aliyechezesha mchezo wa ligi kuu kati ya yanga na coastal union amefungiwa kuchezesha mchezo huwo kwa muda wa mwaka mmoja baada ya kuchezesha chini ya kiwango mchezo huwo.

Mechi hiyo iliyofanyika katika uwanja wa taifa wiki mbili zilizopita ulitoka sare ya kufungana 1-1 baada ya refa huyo kutoa penalt kwa coastal katiaka dakika za mwisho na kusawazisha.

Kwa mujibu wa kamati ilyotoa adhabu hiyo pia imemfungia mwamuzi msaidizi katika mechi hiyo jesse eresmo baada ya kutotoa mamuzi sahihi katika penalt hiyo.

No comments:

Post a Comment