Monday, September 16, 2013

MACHEDA AENDA DONCASTER KWA MKOPO

Mshambuliaji wa manchester united mwenye miaka 22 federico macheda amejiunga na klabu bingwa ya doncaster rovers kwa mkopo wa mwezi mmoja.

Mchezaji huyo raia wa italy ameonekana mara 36 na kufunga mabao 5 akiwa na kikosi cha manchester united.

Kocha wa timu ya doncaster rovers Paul Dickov amesema kwamba wameanza vizuri ndani ya siku 93 za msimu mpya na wanaimani kupata msaada mkubwa kutoka kwa muitaliano huyo.

No comments:

Post a Comment