Monday, September 16, 2013

CAF YAMALIZA DROO YA KUZIPANGA TIMU 10 ZITAKAZO WANIA NAFASI 5 KUCHEZA KOMBE LA DUNIA

Shirikisho la soka barani Afrika CAF hatimaye limemaliza droo ya kuzipanga timu zitakazowania nafasi ya kucheza kombe la dunia mwakani nchini Brazil.

Timu 10 zilizoingiakwenye droo hiyo ni pamoja na Misri, Cameroun, Ivory coast, Ghana,Burkina Faso, Algeria, Nigeria, Ethopia, Tunisia na Senegal. timu hizo zimepangwa kama iuatavyo;

Ghana  vs  Misri

Nigeria  vs  Ethiopia

Ivory coast  vs  Senegal

Tunisia  vs  Cameroun

Burkina Faso  vs  Algeria

Michezo hiyo itakuwa ya nyumbani na ugenini na itaanza kuchezwa october 11,12 na kurudiwa katikati mwa mwezi november.

No comments:

Post a Comment