Friday, September 20, 2013

TOTTI KUONGEZA MKATABA ROMA HADI 2016

Mshambuliaji mkongwe wa timu ya As Roma  Francesco Totti amesema kwamaba anatarajia kuongeza mkataba na clabu hiyo.

Kwa mujibu wa mshambuliaji huyo amesema kwamba mkataba huwo utamfikisha hadi mwaka 2016 ambapo atakuwa na miaka 36.

No comments:

Post a Comment