Mshambuliaji wa timu ya tafa ya hispania na clubu barcelona amesema kwambaanaimani mcshezaji mwezake katika timu hizo atabaki kwamisimu mingine licha ya kudai kuondoka.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mechi ya kimataifa dhidi ya chile kwamba anaimani kipa huyo atabaki na kuongeza mkataba katika timu hiyo licha ya kwamba awali alitangaza kuachana na club hiyo na ilisemekana kujiunga na monaco ya ufaransa.

No comments:
Post a Comment