Kipa wa timu ya chelsea na nahodha wa timu ya taifa ya jamhuri ya czech peter cech amefahamika kwamba anatakiwa barcelona.
Hii ameibuka baada ya kipa wa timu hiyo victor valdes kutaka kuondoka clubuni hapo na timu ya barcelona inataka kuziba pengo lake kwa kumsajili kipa huyo kutoka chelsea na mwenye histiria na timu hiyo baada ya kuchukua kombe la eufa na europa miaka miwili mfululizo.

No comments:
Post a Comment