Sunday, September 15, 2013

RONALDO ASAINI MKATABA MPYA REAL MADRID

Real madrid imetangaza kwamba nyota wake cristiano ronaldo amesaini mkataba mpya na timu hiyo jana jumamosi.

Awali jana timu hiyo kupitia kwa rais wake perez alisema kwamba leo wanatarajia kwamba ronaldo atasaini mkataba mpya wa miaka mitano na baadaye nyota huyo kusaini mkataba huwo.

Mkataba hwo utamfanya apokee kitita kikubwa zaidi ya mchezaji yeyote nchini hispania kwa kupokea euro 17 million kwa mwaka na kumpita lionel messi na gareth bale.

Nyota huyo wa zamani wa mashetani wekundu manchester united amesaini mkataba huwo na kukatisha tamaa kabisa kwa timu zote zinazomuhitaji ili kumsajili ikiwemo tetesi ya kwamba anaweza kurudi man united.

No comments:

Post a Comment