Sunday, September 15, 2013

MAN UNITED YAAMINI KUWAPIKU ARSENAL NA CHELSEA KWA SHAW

Katika nia ya kiumarisha ulinzi manchester unied huwenda wakawapiku timu ya arsenal na chelsea kwa kumsajili beki wa kushoto wa southermpton luke show.

Awali timu hiyo ilwahi kutuma ofa ya kumsajili beki huyo mwaka 2012 kipindi ana umri wa miaka 16 na sasa ana miaka 18 lakini ilikataliwa.

Beki huyo mwenye thamani ya pauni 12millioni huwenda akatua kwa mabingwa hao wa ligi kuu wa england january mwakani.

No comments:

Post a Comment