Mshambuliaji wa manchester united na timu ya taifa ya uingereza wyne rooney amesema kwamba ushirikiano wake na van persie ni mzuri na anaupenda.
Hayo alisema baada ya kuuliwa na waandishi wa habari baada ya mechi ya ligi ya mabingwa barani ulaya kwamba combination yake na mshambuliaji raia wa uholanzi ni wenye manufaa cluuni hapo kama utadumu kwa miaka mingi.
Hii ni baada ya mechi mbili zilizopita washambuliaji hao wamefunga mabao matano katika sita huku rooney akifunga matatu na van persie mawili.

No comments:
Post a Comment