Golikipa namba moja wa timu ya barcelona na timu ya taifa ya hispania jumatano iliyopita alionyesha ni jinsi gani watammiss ndapo akiondoka clabuni hapo.
Hii ni baada ya kuonyesha kiwango kikubwa katika mechi dhidi ya ajax amsterdam ya uholanzi.Nyota huyo mwenye miaka 31 amekuwa na tetesi za kuondoka clabuni hapo lani ocha mpya motino amefanikiwa kumbakisha hadi hivi sasa.

No comments:
Post a Comment