Mshambuliaji hatari wa manchester united robin van persie amesema kwamba kuna makubwa yanakuja kwa combination kati uake namshambuliaji mwenzake wyne rooney.
Amesema kwamba anapenda sana kucheza na nyota huyo kwa kuwa anajua nini anachokifanya.Nyota hao wotw kwa sasa ni mwiba kwa timu pinzani kutokana na kiwango chao kuwa juu cha kufumania nyavu.
Akizungumzia mechi ya leo ambapo watakwenda etihad stadium kuvaana na mahasimu wao man city katika mchezo wa ligi kuu ya uingereza amesema kwamba wamejiandaa vizuri na mashabiki watumainie ushindi dhidi ya mahasimu wao kwa kuwa yuko fiti na yu tayari kushirikiana na wengine kuzoa point tatu ugenini.

No comments:
Post a Comment