Beki chipukizi na mahiri katika safu ya ulinzi kwa timu ya real madrid rafael varane yukaribuni kurudi uwanjani baada ya kupona majeraha.
Mchezaji huyo raia wa ufaransa mwenye umri wa miaka 20 kwa sasa ni lulu katika kikosi cha real madrid tangu kocha mourinho alipomuibua, na yuko karibuni kurudi uwanjani baada ya maumivu ya muda mrefu na may mwaka huu kufanyiwa upasuaji katika kifundo cha mguu.
Vilevile inasadikika kwamba ameshaanza mazoezi mepesi wiki hii.
Real madrid walimsajili bei huyo kutoka lens ya ufaransa kwa msaada mkubw wa zinedine zidane kwani timu nyingi zilikuwa ziki muhitaji kama manchester unite na bayern munich.

No comments:
Post a Comment