Timu inayo shiriki ligi kuu ya england sunderland fc inatarajiwa kuingia ubia wa kutangaza mambo mbalimbali yanayopatikana nchini tanzania pamoja na kuinua medali ya soka nchini humo.
Kwa mjibu wa uongozi wa juu wa timu hiyo, sunderland inatarajiwa kuitangaza tanzania katika nyanja mbalimbali ikiwemo nyanja za utalii na michezo.
Katika nyanja ya soka timu hiyo inataka kuwekeza katika kujenga uwanja mpya wa kisasa jijini dar es salaam eneo na kidongo chekundu pamoaja na kuanzisha academy ambayo itakuwa inasimamiwa na timu hiyo.

No comments:
Post a Comment