Tuesday, September 3, 2013

WELCOME TO OLD TRAFFOD MR. MAROUANE FELLAINI

Baada ya purukushani za huku na kule hatimaye nyota wa evrton marouane fellaini amesajiliwa rasmi na manchester united kwa mkataba wa kipindi kirefu. 

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 raia wa ubelgiji amesajiliwa kwa ada ya uhamishi wa pauni 27.5m..
 Kwa kuwa jana ilikua ndio mwisho wa dilisha la usajili hadi nusu saa kabla ya kufungwa kwa usajili manchester united walikuwa bado hawaja sajili mchezaji yeyote ila tu ilikuwa ni wakati mgumu sana kwani masaa mawili nyuma  dili la kumsajili kiungo ander herrera kutoka athletic bilbao lilikufa na baadaye washabiki wote walikuwa wanategemea kwa marouane fellaini na muda mchache baada ya hapo alitangazwa officilly kwamba ni mali ya the red devils.
vilevile fellaini amesema kwa kuwa kama mchezaji wa manchester ni fahari kwa kila mchezaji ambaye anandoto nzuri katika maisha yake ya soka, na ameongeza mwamba atashirikiana vizuri na wachezaji wenzake ili waweze kutwaa vikombe vingi zaidi

No comments:

Post a Comment