Tuesday, September 3, 2013

HENRY JOSEPH ARUDI SIMBA KIM POULSEN AMWITA TIMU YA TAIFA

Kiungo mahiri aliyerudi katika clubu yake ya zamani akitokea norway jana alianza rasmi kazi baada ya kuwepo katika kikosi cha timu ya simba kilichoikabili mafunzo katiaka mchezo wa kirafiki ambao simba ilishinda 4-3.

Mabao wa ya simba yalifungwa na tambwe na sino agoustino ambapo baada ya mchezo huo kocha mkuuwa timu ya taifa ya tanzania taifa stars kim poulsen amemjumuisha katika kikosi hicho baada ya kuiona shuguli yake katika sehemu ya kiungo.

No comments:

Post a Comment