Thursday, October 24, 2013

CARRICK KUONGEZA MKATABA MAN UNITED

Timu ya manchester united wanatarajia kufungua mazungumzo na kiungo wao mahiri Michael Carrick ili kuongeza mkataba katika kuendelea kuichezea timu hiyo katika kipindi kingine

Kiungo tegemezi  ambaye amukuwa kikosi cha kwanza katikakipindi cha miaka minne sasa na amekuwa katika kiwango kizuri na mwishini mwaka jana aliteuliwa kuwa kiungo bora wa mwaka kwa timu hiyo.

Kiungo huyo ambaye analipwa pauni 85000 kwa wiki anatarajiwa kuongeza mkataba amabao utamkisha hadi miaka miwili baadaye baada ya kumaliza mkataba wake wa sasa ambao unatarajiwa kumalizika mwisho wa msimu ujao. 


No comments:

Post a Comment