Mechi
ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba SC na wenyeji
Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani, Tanga imeingiza jumla ya Sh. Milioni
51.6 (51.586,000) na kila klabu imepata Sh. Milioni 12 katika mchezo huo
uliomalizika kwa sare 0-0, habari hizi ni kwa mujibu wa chanzo chetu
kutoka Chama cha Soka Tanga (TRFA). Pichani ni Juma Nyosso wa Coastal
kulia akipambana na Amisi Tambwe wa Simba SC katika mchezo huo jana.
No comments:
Post a Comment