Sunday, October 20, 2013

GALLIANI AHOFIA UWEPO WA BALOTELLI NA ABBIATI DHIDI YA BARCELONA

Makamu rais wa Ac Milan Adrei Galliani ahofia uwepo wa nyota wake mshambuliaji  Mario Balotelli na kipa Cristian Abbiati katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya barcelona jumanne.

Kiongozi huyo ametilia shaka hasa baada ya wachezaji hao kukosekana katika mchezo wa ligi kuu ya italy maarufu kama Seria A jana usiku dhidi ya udinese na kutoka na ushindi wa 1-0.

Ac milan itaikabili Barcelona katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani ulaya hapo jumanne atika muendelezo wa raund ya kwanza katika ligi hiyo.

No comments:

Post a Comment