Timu ya soka ya manchestr united ya England tayari imefungua milango kwa timu yeyote kumuhitaji nyota wa kimataifa wa uingereza Ashley Young january mwakani.
Young ambaye anaandamwa na majeruhi alicheza mechi ya mwishi dhidi ya mahasimu wao man city na kufungwa 4-1.
Nyota huyo wa zamani wa watfod alisajiliwa na mashetani hao akitokea Aston Villa kwa ada ya uhamisho wa pauni million 17 na kulipwa pauni 100000 kwa wiki pamoja na marupurupu.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka clabuni hapo Young amekuwa na wakati mgumu baada ya kuandamwa na majeraha kila mara na ndio chanzo cha kushuka kiwango chake na kupelekea kukosa nafasi kwa kocha mpya Davud Moyes.

No comments:
Post a Comment