Kiungo hatari wa barcelona na timu y taifa ya hispania Andres Iniesta ametangaza azma yake ya kustaafu soka akiw na klabu yae ya sasa.
Hii imekuja baada ya kutangaza nia yake ya kutaka kuongeza mkataba katika timu hiyo kwa kuwa mkataba wake wa sasa upo karibuni kuisha.
Iniesta alisma kwamba itakuwa ni kichekesho kikubwa kwa mimi kustafuu soka nje na timu yangu ya sasa aliyonilea na kunifanya kuwa ni miongoni mwa wanasoka wakuba duniani na kwa hilo anatarajiwa kuongeza mkataba ambawo utamfanya akaekwa muda mrefu zaidi klabuni hapo.
Kwa sasa kiungo huyo ana miaka 29 na bado yupo katika kiwango kizuri nahadi sasa amesha chukua tuzo ya mwanasoka katika kipindi cha mashindano ya mataifa ya ulaya yaliofanyika ukrain na poland mwak 2012

No comments:
Post a Comment