Thursday, October 3, 2013

FERNANDO TORRES NJE WIKI TATU

Mshambuliaji wa chelsea raia wa hispania Fernando  Torres anatarajia kukaa nje kwa muda wa wiki tatu akiuguza maumivu aliyoyapata.

Nyota huyo ambaye katika mechi iliyopita ya ligi kuu ya england aliadhibiwa kadi nyekundu dhidi ya Totenham baada ya kuonyesha mchezo mbaya anatarajiwa kuukaa nje kwa muda huywo kutokana na kuumia katika mechi ya ligi mabingwa ulaya dhidinya bucherest ya Romnia juzi.

Kwa mujibu wa uongozi wa timu hiyo kwa sasa chelsea atakuwa na majeruhi wawili ukimjumuisha na Marco Van Ginkel aliyeumia katika mechi ya kombe la capital one dhidi ya swilon town.

No comments:

Post a Comment