Mshambuliaji wa kimataifa wa Montenegro na timu ya soka ya manchester city Stevan Jonetic amekanusha madai ya kwamba alitaka kwenda timu ya Juventus Turin.
Nyota huyo mwenye miaka 23 amesema hayo baada ya kuulizwa kuhusiana na mpango wake wa sasa kutokana na kukosa namba ya kudumu katikakikosi cha kocha raia wa chile Emmanuel Pellegrini .
Jovetic ambaye alituwa man city katika kipindi cha usajili wa majira ya joto yaliyopita akitokea timu ya Fiorentina na kukanusha kwamba haja wahi kufikiria hata kidogo kuhamia Juve na hatarajii kwani kwa sasa japokuwa sina namba ya kudumu lakini nafurahia maisha ya hapa.

No comments:
Post a Comment