Tuesday, October 22, 2013

KINDA LIVERPOOL AENDA KWA MKOPO DERBY

Kinda la timu ya soka ya liverpool Andre Wisdom mwenye miaka 20 amejiunga na timu ya soka ya Derby inayoshiri ligi ya daraja la kwanza nchini England maarufu kama championship.

Kwa mujibu wa timu hiyo kupitia mtandao wake umesema kwamba kijana huyo ameenda timu hiyo ili kuongeza uzoefu baada ya kukosa namba katika kikosi cha kwanza cha Rodgers

Hiyo imekuja baada ya kuwasili Aly Cissoko ambaye imemfanyishe akose nafasi kabisa na kocha wake kuamua kumpeleka kwenda kwa mkopo ndani ya timu hiyo.

No comments:

Post a Comment