Tuesday, October 22, 2013

SERENGETI BOYS YACHAGULIWA KUSHIRIIKI MICHUANO YA OLIMPIKI

Timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 17 imechaguliwa kwenda kushiriki michuano ya olimpiki itakayo fanyika nchini Botswana hapo baadaye.

Timu hiyo imepata bahati hiyo ambayo ilisha tokea kwa Tanzani kwenda kushiriki michuano hiyo ilipofanyika nchini Morocco.




WAKATI HUOHUO:
 Mchezo wa kutafuta kushiriki michuano ya kombe la dunia chini ya miaka 20 kwa wanawake katika ya timu ya taifa ya Tanzania na  Msumbiji utakaofanyika tarehe 26 siku ya jumamosi  katika uwanja wa taifa umetangazwa viingilio vyake na kima cha chini kabisa ni shilingi 1000 na kima chajuu ni shilingi 10000.

Kwa mujibu wa viwango hivyo ni nafasi kwa washabiki kwenda kuwapa sapoti ili washinde dhidi ya wenzao ambapo wanatarajiwa kutua jijini Dar es salaam alhamisi wiki hii.

No comments:

Post a Comment