Tuesday, October 1, 2013

LEVERKUSEN YAIBANIA ARSENAL KWA BENDER

Timu ya Bayern leverkusen ya nchini ujerumani inaibania timu ya arsenal ya uingereza kuhusu usajili waLars Bender

Kwa mujibu wa kiungo huyo mwenyewe ameonyesha nia ya kujiunga na washika bunduki hao wa london tangu msimu wa usajili wa majira ya joto

Kiungo huyo wa kimataifa wa ujeruman na timu ya taifa ya nchi hiyo imesadikika ana umri wa miaka 24 na alisajiliwa na timu ya 1860 munich mwaka 2009.

Kiungo huyo wa kati wa bayern leverkusen anamkataba na timu hiyo hadi mwaka 2017 na kwa mujibu wa timu hiyo hawawezi kumuuza katika timu yeyote inayomuhitaji kwa sasa.

No comments:

Post a Comment