Nyota wa timu ya taifa ya ureno na timu ya real madid ameuomba uongozi wa timu hiyo kumsajili mshambuliaji mwingine wa kati ilikuongeza makali ya safu ya ushambuliaji wa tmu hiyo.
Hayo aliyasema baada ya uzungumza na waandishi wa habari baada ya mazoezi jana jioni kwamba ingekuwa vizuri timu ingeongeza mshambuliaji mwingine baada ya humuuza higuain aliyetimkia napoli ya italia.
Kwa mujbu wa Ronaldo alimpendekeza nyota kutoka colombia ramadel falcao asajiliwe katika timu hiyo kwani kwa sasa falcao anaichezea monaco ya ufaransa akitokeaAthletico madrid katika kipindi cha usajli wa majira ya joto kilichokwisha.

No comments:
Post a Comment