Kocha wa galatasaray ya uturuki Roberto Mancini hatimaye ameanza kazi yake baada ya kuwa na nia ya kumsajili winga hatari wa machester united Antonio Valencia.
Mancini ametenga kitita cha pauni millioni 12 ili kutaka kumsajili nyota huyo kutoka Ecuador ambaye kwa sasa nafasi yake ndani ya timu ya manchester united kuwa finyu hasa baada ya kuja kocha mpya clabuni hapo.

No comments:
Post a Comment