Winga machachari wa timu ya taifa ya uingereza na clabu ya Tottenham Hotsprs Andros Townsend hatimaye amesaini mkataba mpya na timu yake utakaomfanyisha akae kwa muda wa miaka minne zaidi baada ya kumalizika mkataba wake wa sasa.
Nyota huyo mwenye miaka 22 ambaye amekuwa tishio katika safu ya mabeki wa pembeni katika timu pinzani ameongeza mkataba huo baada ya viongoza wa timu hiyo kushawishiwa na kiwango cha winga huyo kwa sasa.
Townsend hadi sasa amecheza mara 8 tu katika kikosi cha AVB na ameonyesha kukuwa kwa kiwngo hasa baada ya kucheza kwa mkopo msimu uliopita katika timu ya QPR na hata kocha wa England Roy Hodson kuvutwa na kiwango chake na kumjumuisha katika kikosi cha timu ya taifa hilo.

No comments:
Post a Comment