Kocha wa timu ya manchester united David Moyes amewatuliza mashabiki kuwa na presha juu ya timu yao.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mechi dhidi ya sunderland na timu yake kuibuka na ushundi wa 2-1 alisema kwamba kwa sasa kila shabiki ni lazima kuwa bega na timu hiyo katika kipindi chote cha mpito na kuacha porojo na vilevile kuendelea kuipa sapoti timu hiyo pindi iwapo uwanjani.
Aliongeza kwa kusema kwamba timu ipo katika kipindi cha mpito hivyo basi ni lazima itambulike hivyo na kwani timu bado ni nzuri na inwachezaji wa kiwango cha dunia ambao wanaweza kufanya lolote uwanjani na kuongeza kwa kujitetea kwamba uongozi mzima wa timu hupo makini na kupitisha jina langu na kuontesha kwamba wana imani na mimi na mimi nataka nionyeshe kwa nini nimepewa jukumu hilo.

No comments:
Post a Comment