Rais wa timu ya soka ya Real Madrid Florentino Perez amethibitisha kwamba timu yake inajiandaa kumsajili nyota kutoka colombia Radamel Falcao.
Perez amsema kwamba walicheza mistake ambayo iliwafanyisha kumkosa mshambuliaji huyo na kutimkia Ufaransa katika clabu ya Monaco akitokea timu ya Athletico Madrid.
Nyota huyo mwenye miaka 27 aliyeisaidia timu yake ya taifa ya colombia kukata ticketi ya kucheza michuano ya kombe la dunia mwakani nchini Brazil baada ya kufunga goli mbili zote kwa njia ya penalti dhidi ya chile na kutoka na ushindi wa mabao 3-0.
"Falcao ni mchezaji mkubwa na kila timu duniani inahitaji mchango wake ndani ya timu na kwa hilo tutahakikisha anatua Real Madrid katika msimu wa majira ya joto yajayo. " alisema Perez.

No comments:
Post a Comment