Timu ya taifa ia Uswisi imebainisha kwamba winga wa timu hiyo na clabu ya Bayern munich Xherden Shaqiri atakaa nje kwa zaidi ya wiki saba baada ya kupatamajeraha.
Nyota huyo mwenye miaka 22 anatarajiwa kukaa nje baada ya kuumia katika mchezo wa kimataifa wa kugombania nafasi ya kufuzu kushiriki kombe a dunia mwakani nchini Brazil dhidi ya Albania.
Katika mchezo huwo timu ya Uswisi ilitoka na ushindi wa mabao mawili kwa moja na nyota huyo kujiunga na wenzake Thiago Alcantara na Robarto Martinez ambao ni majeruhi takribani wiki ya tatu sasa ndani ya Bayern munich

No comments:
Post a Comment