Thursday, October 10, 2013

RADUCANU AMTABIRIA MABAYA GOTZE

Gwiji la soka la zamani la timu ya borussia dotmund Marcel Raducanu amemtabiria mabaya mshambuliaji nyota wa timu ya beryan munich aliyetokea Dotmund  Mario Gotze na kusema kwamba itamchua muda mrefu uliufanya vizuri katika kikosi hicho.

Nyota huyo wa zamani aliongeza kwa kusema kwamba Gotze atakuwa kama mshambuliaji wa zamani wa Fc cologne ambaye alishaenda clabuni hapo kwa sasa anaichezea Arsenal ya uingereza Lucas Podolski, kwani alishawahi kwenda hapo na hakuna alichokifanya kutokana na nafasi ya kcheza katika timu hiyo baada ya kujaa nyota wengi ambao husababisha kukaa benchi kwa baadhi ya wacezaji na kushuka viwango vyao

"Nategemea kumuona Gotze kama Podolski kipindi kile alipo hamia hapo kwani kuna ushindani mkubwa wa nambana vyema angelibakia dotmund ili kukuza kiwango chake zaidi ya hapa alivyo sasa." alisema Raducanu.

No comments:

Post a Comment