Mshambuliaji ghai wa manchester united winy rooney amezawadiwa tuzo ya kuwa mchezaji bora wa mwezi wa timu hiyo.
Kurhizo zilipiga na washabiki wa timu hiyo na kuaacha nyuma zaidi akina RVP na Danny welberck.
Mchezaji huyo amepata tuzo hio na kuendelea kujikusanyia tuzo tofauti ndani ya timu hiyo baada ya kuonyesha kiwango kizuri hivi karibuni na kugewa tuzo hiyo kwa mwezi uliopita na kwa sasa nyota huyo wa timu ya taifa ya england anaendelea vizu baada ya kupata majeraha madogo katikati ya wiki ii na kukosa mchezo dhidi ya shaktar donesk kule ukraine ambapo timu yake ilitoka sare ya 1-1 huku Welberck akitupia goli kwa upande wa man unied.

No comments:
Post a Comment