Friday, October 4, 2013

REINA ATEGEMEA KURUDI BARCELONA

Golikipa wa liverpool na timu ya taifa ya hispania Pepe Reina  anayechezea timu ya Napoli ya italia kwa mkopo amesema anategemea kurudi katika timu yake ya zamani pindi alipokuwa chini ya miaka 19.

Kipa huyo hodari aliyeidakia liverpool kwa mafanikio amesema maneno hayo baada ya kuimarika kiwango chake hivi karibuni akiwa kwa mkopo katika timu hiyo ya napoli.

Pepe Reina aliwahi kuwa katika timu ya barcelona wakati akiwa kijana na kutimkia  vllareal baada ya kukosa namba ya kudumu katika kikosi hicho mwaka 2002 na kisha kutimkia liverpool.

Pe

No comments:

Post a Comment