Sunday, October 13, 2013

SCHERZNEGGER ASIFU UMBO LA RONALDO NA KUSEMA HAYA...

Muigizaji maarufu wa movie nchini marekani Anold Schweznegger amesifu umbo la mashambuliaji na nyota hatari wa timu ya timu ya taifa ya ureno na clabu ya  Real Madrid Cristiano Ronald.

Muigizaji huyo aliulizwa kuhusu wachezaji wawili kati ya Ronaldo na Messi na kura yake ilienda kwa Ronaldo na kumsifu kwamba amekaa katika umbo zuri na ndio maana hufaulu kila anachotaka kukifanya uwanjani.

Aliendelea kusema kwamba kutokana na umbo lake linaianya timu yake kuwa katika kiwango kizuri kila mwaka  na kumtofautisha na messi kwani hana umbo la kutisha.

Nyota huyo ameanza vizuri msimu huu na kufanikiwa kupachika mabao 12 katia mechi 10 alizocheza msimu huu na kuifanyisha timu ake kutoka nyuma na kuikabili wapinzani wao Barcelona kwa tofauti a point 5.

No comments:

Post a Comment