Sunday, October 13, 2013

WATANO WAFA COLOMBIA KWA KUSHANGILIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA MWAKANI NCHINI BRAZIL

Imesadikika watu takriban watano na zaidi wa mekufa baada ya kushangilia kufuzu kwa timu yao ya taifa ya colombia katika michuano ya kombe la dunia nchini brazil mwakani.

Taarifa kutoka nchini humo katika jiji la Bogota ambako mchezo wa kufuzu michuano hiyo ulipofanyika dhidi ya Chile na colombia kuibuka na ushindi wa magoli 3-0.

Magoli ya Colombia yalifungwa na Carlos Carnoma na Radamel Falcao kwa mikwaju miwili ya penati na hadi mwisho kutoka na ushindi huo.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mku wa polisi nchini humo Rodolfo Polomino amesema kwamba baada ya mchezo huwo kuisha washabiki walikuwa na furaha sana na kusababisha ajali kutokana na kuendesha ovyo magari yao  baadhi ya mitaa jijini bogota na kusababisha vifo hivyo

No comments:

Post a Comment