Mabingwa wa ulaya kutoka nchini Ujerumani Bayern munich wanatarajia kufungua mazungumzo na abeki wao mahiri David Alaba ili kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.
The Bavarians wanampango huo ili kuimarisha mkataba wake ambao unatarajiwa kuishia mwisho wa msimu ujao..
Nyota huyo mwenye miaka 21 na raia wa Austria amesema kwamba Bayern ni timu yake nambari moja na ni chaguo lake katika muda wote wa maisha yake ya soka na kusikia hivyo kunamfariji nakupelekea kuongeza juhudi ili aweze kuimarisha mkataba wake na mabingwa hao.
No comments:
Post a Comment