Wednesday, November 6, 2013

CASILLAS ANAMATUMAINI YA KUBAKIA MADRID

Kipa wa timu ya taifa ya Hispania na clabu ya Real madrid Iker Casillas amesema kwamba ana matumaini makubwa kubakia katika timu hiyo katika misimu ijayo ya ligi.

Nahondha huyo aliyasema hayo baada ya kumalizika kwa mchezo wao jana dhidi ya Juventus ugenini na kuonesha kiwango cha kuridhisha .

Awali kipa huyo ilifahamika angeliondoka katika timu hiyo tangu enzi za kocha Jose Morinho ambaye alisababisha kutojiamini katika kikosi hicho na kufukiria kuondoka katika timu hiyo.


No comments:

Post a Comment