Kiungo
wa zamani wa Simba SC, Wilfred Kidao (katikati) amechukua nafasi ya
Ahmed Msafiri Mgoyi kushoto Dar es Salaam, wakati Khalid Abdallah
amepewa Tanga katika mabadiliko ya Wasimamizi wa vituo yaliyofanywa na
Kamati mpya ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya
Rais mpya, Jamal Malinzi.
Taarifa ya TFF kwa Wasimamizi wapya wa vituo |
No comments:
Post a Comment