Kiungo raia wa Brazil Anderson ameiomba timu yake kuondoka hata kwa mkopo wa miezi sita katika timu yake ya zamani Fc Porto.
Hayo yamekuja baada ya timu hiyo ya zamani kumuhitaji nyota uyo kwa mkopo ilikuongeza ufanisi katika safu yake ya kiungo.
Nyota huyo mwenye miaka 25 amekuwa na wakati mgumu ndani ya timu yake hiyo hasa baada ya kusajiliwa Fellaini na amekuwa akikaa nje kwa kioindi kirefu zaidi.
Vilevile nyota huyo aliysajiliwa na United mwaka 2007 kwa pauni millioni 21 anatakiwa na timu za santos na corithians ili kwenda kuimarisha kiwango chake.
No comments:
Post a Comment