Wednesday, November 27, 2013

MANCHESTER UNITED WAJIANDAA KUMSAJILI BENDER

Manchester united huwenda ikajiuliza baada ya kufeli katika harakati za usajili wa kiungo bora ili kuja kuisaidia safu ya kiungo ya timu hiyo ambayo imekuwa ikiyumba katika kipindi kirefu sasa hasa baada ya kustaafu kwa Paul Scholes.

Katika kulifanikisha hilo man united wapo katika harakati kupitia kwa kocha wa timu hiyo ili kumsajili kiungo kutoka ujerumani na timu ya Bayern Leverkusen Las Bender ambaye leo usiku atakuwa miongoni mwa kizingiti kikubwa katika safu ya kiungo.

Moyes yupo katika kumuangalia kiungo huyo mwenye miaka 24 leo ili kuongeza nia yake ya kumsajili kiungo huyo ambaye amekuwa gumzo ndani ya timu ya Arsenal.

No comments:

Post a Comment